Tue May 05 2015
CHICAGO BULLS yaifunga CLEVELAND CAVALIERS
KATIKA ligi ya kulipwa ya mpira wa kikapu ya Marekani- NBA
mabingwa wa zamani wa ligi hiyo CHICAGO BULLS wakiongozwa na DERICK ROSE
wameibugiza CLEVELAND CAVALIERS points 99 kwa 92 katika mchezo wa
kwanza wa mtoano kwenye mzunguko wa pili wa nusu fainali ya NBA msimu
huu.
Wababe hawa wawili wa kanda ya mashariki wamechuana katika wa nusu fainali ambapo DERICK ROSE alifunga points 25 na PAUL GASOL pamoja na JIMMY BUTTLER wakifunga points 20 kila mmoja na kuiongoza vyema BULLS kuibuka na ushindi huo muhimu dhidi ya CAVALIERS.
Licha ya CAVALIERS wakimtumia zaidi LE BRON JAMES aliyefunga points , IMAN SHUMPART ALIYEFUNGA 22 na KYRIE IRVING aliyefunga points 30, walishindwa kufurukuta mbele ya BULLS na sasa wanasubiri mchezo wa pili ili waweze kusawaziha matokeo.
No comments
Post a Comment