Wednesday, 13 May 2015

UDOM; BUNGE LA WANAFUNZI LAVUNJWA RASMI, MWAKIBINGA NA WENZAKE WAKUMBUKWA

Kutoka kitivo cha sanaa za lugha na sayansi za jamii CHSS Chuo kikuu cha Dodoma, bunge la serikali ya wanafunzi limevunjwa rasmi ili kupish... thumbnail 1 summary

Kutoka kitivo cha sanaa za lugha na sayansi za jamii CHSS Chuo kikuu cha Dodoma, bunge la serikali ya wanafunzi limevunjwa rasmi ili kupisha uchaguzi wa serikali nyingine itakayoongoza mpaka 2016.

Akitoa hotuba ya Bunge makamu wa rais, mh Kuresoi Risper ambaye anapata mamlaka hiyo kisheria baada ya Rais Kyabwene Masatukusimamishwa masomo baada ya kutuhumiwa kuhamasisha mgomo uliotokea Chuo Kikuu cha dodoma mwezi janiuari.

mwanzoni ni waziri mkuu akifuatiwa na Makamu wa Rais halafu spika na nibu spika wa bunge


Akizungumzia uhusiano wa serikali yake na wanafunzi amejikitakuwaasa wajitambue na kujielewa waobinafsi bila kupelekwapelekwa na mtu wala majitu.

Miongoni mwa changamoto zilizoikumba serikali ya wanafunzi mwaka huu ambayo pia Makamu wa Rais ameitaja ni kuondolewa Chuo kwa viongozi wa Serikali ya wanafunzi akiwemo, Mwakibinga philipo (waziri mkuu) wa serikali ya wanafunzi kwa mwaka 2014/2015.

pia ameweka wazi kuwa vitu vingi vilikwama ni kwa sababu tu safu ya viongozi ambao walitakiwa kuungana naye naye kuungana nao hawakuwepo.

alimalizia kusema wanafunzi wawe makini katika mchakato wa uchaguzi mwaka huu ili kuilinda na kuitunza hadhi ya mwanachuo na amani ya tanzania. 

 

PHILIPO MWAKIBINGA


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 BAADA YA KUVUNJA BUNGE HAWA NAO 

WAKAPATA PICHA YA UKUMBUSHO

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

HAWA NAO HAWAKUBAKI NYUMA

No comments

Post a Comment