NA TEGEMEO LA WOTE, LEO MEI 21 2015, ALHAMISI mgomo baridi uliofanyika leo UDOM umetikisa nchi hizi ni picha baadhi za mgomo huo. Mgo...
08:15
NA TEGEMEO LA WOTE, LEO MEI 21 2015, ALHAMISI
mgomo baridi uliofanyika leo UDOM umetikisa nchi hizi ni picha baadhi za mgomo huo.
Mgomo wa kuingia madarasani unaendelea kupamba moto Chuo
Kikuu cha Dodoma kwa sababu kuu za msingi ambazo zimetanabaishwa na wawakilishi
wa wanachuo ambao mapema asubuhi ya leo waliungana na FFU kwenda bungeni kwa
ajili ya kuonana na Waziri Mkuu wa Nchi mh, Pinda. Mpaka mwisho Waziri mkuu
aleshindwa kufika na hatimaye kufanya mgomo huo wa kutokuingia darasani
kuendelea mpaka hapo matatizo hayo yakapotatuliwa. BOOM, ulipaji wa BIMA mara
mbili, kutozwa direct cost kwa watu wa OFFcampus, Mindombinu mibovu ya afya, na
Kufukuzwa kwa wenzao wakiwemo akina MASATU, MWAKIBINGA, MESANGA, na CHANDE
ambao walisimamishwa masomo mapema mwaka huu katika kitivo cha Humanitia
wakishukiwa kuchochea vurugu chuoni hapo. Mgomo unaendelea na kesho saa
alfajiri watu wameahidi kukutana ili kuendeleza varangati mpaka kieleweke.
BAED kama sehemu ya wahanga nao pia wanapaswa kufanya
maamuzi mazito juu ya hilo ambapo tayari jioni hii wanakutana na Waziri mkuu
ili kupanga namna ya kufanya maana hakuna namna sasa.
|
jua lianapambazuka na harakati inapambazuka, UDOM |
|
bango la wazi |
|
mkuu wa mkoa., Chiku Galawa akiingia viwanja vya Revolution COED |
|
Naibu Waziri wa Afya akiingia uwanja wa Revolution COED |
|
viongozi wa Nchi waliotumwa na Waziri mkuu wakizungumza na wanachuo |
|
umati wa wanachuo |
|
umati wa wanachuo |
|
umati wa wanachuo |
|
umati wa wanachuo |
|
mkuu wa mkoa akizungumza na wanachuo |
|
Naibu waziri wa afya akizungumza na wanachuo |
|
umati wa wanachuo |
|
FFU wakiangalia usalama, COED |
| | |
FFU wakiangalia usalama, COED | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | MA |
No comments
Post a Comment