Wednesday, 6 May 2015

DEMU WA KENYA ANAYEMTAKA KIMAPENZI DIAMOND PLATINUMZ, AIBUA HILI JIPYA

Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupit... thumbnail 1 summary


Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa alitafutwa na Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha mbali mbali na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki ..Lakini mpaka leo Tickets hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook anajiita : Diamond Wasafi Platnumzz

No comments

Post a Comment