5 Mei 2015 Wapiganaji wa kundi la Islamic State wamekiri kwamba ndio waliotekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya k...
14:56
5 Mei 2015

Wapiganaji wa kundi la Islamic State
wamekiri kwamba ndio waliotekeleza shambulizi katika shindano la
vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas nchini
Marekani.
Kundi hilo limesema kuwa wapiganaji wawili wa kundi hilo
walitekeleza shambulizi hilo katika mkutano uliokuwa karibu na mji wa
Dallas.
Taarifa ya habari ya Redio ya kundi hilo Al-Bayan imesema
kuwa maonyesho hayo yalikuwa yakionyesha picha mbaya kumhusu mtume
Muhammad.
Washukiwa wote wawili walipigwa risasi baada ya kufyatua risasi katika maonyesho hayo siku ya jumapili.
No comments
Post a Comment