Monday, 11 May 2015

MAJINA YA BOOM YATOKA UDOM; WACHACHE WAPATA, BA-EDUCATION NA COED NJE

Majina ya p esa za malazi kwa wanavyuo ili maarufu kama bumu yametoka leo tarehe   11mei 2015, jumatatu mchana. Tegemeo la wote imepata... thumbnail 1 summary


Majina ya pesa za malazi kwa wanavyuo ili maarufu kama bumu yametoka leo tarehe  11mei 2015, jumatatu mchana. Tegemeo la wote imepata taarifa hizi kutoka kwa Waziri wa mikopo CHSS Mh. Amos Masibuka muda wa mchana akiwa na Waziri mkuu katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo Humanitia.
Kwa taarifa zilizopatikana katika ofisi hii ni kuwa majina yaliyoletwa chuoni ni ya Koleji ya Informatics na Social Sciences peke yake, hivyo wengine bado wamewekwa kando.
Hali ya wanachuo kwa sasa ni mbaya kiuchumi baada ya pesa hizo kukawia, kozi ambayo inautata wasehemu BAED ambayo maji na yake huwa yanatokea COED na kusainiwa Humanitia nayo pia imejipatakuw anje.
Kwa upande wa CHSS Wanafunzi ambao majina yao yametoka; wanafunziwa business na Humanities watasainia ofisi ya Loan officer, na wanafunzi wa Social watasainia kwa mr. Fred. Kila mwanafunzi anatakiwa kuwa na fomu ya usajili, page no na s/n. Majina yamebandikwa block 13 na 14.


tangazo la kusaini bumu.


share with your friend.

tangaza na sisi upate amani ya milele
 contact with us for any event; 0762042060

No comments

Post a Comment