Wednesday, 13 May 2015

Utata waibuka tena, kifo cha OSAMA BIN LADEN

Wed May 13 2015 OSAMA BIN LADEN Utata umeibuka tena,kuhusiana na kifo cha OSAMA BIN LADEN,huku ma... thumbnail 1 summary

Wed May 13 2015
OSAMA BIN LADEN
Utata umeibuka tena,kuhusiana na kifo cha OSAMA BIN LADEN,huku madai mapya yakisema kuwa,afisa usalama wa PAKISTANI ndio waliofahamu mahali alipokuwa osama bin laden,na sio mawasiliano ya simu kama serikali ya marekani ilivyosema.

Taarifa mpya zinasema kuwa,maafisa wawili wa juu wa usalama nchini Pakistan ndio waliitarifu CIA kuhusiaanna na maficho ya OSAMA na hapo ndipo,kikosi maalum cha helikopta kilipofika eneo lile na kumuuwa OSAMA BIN LADEN.

Ikulu ya marekani inashutumiwa kwa kutoa taarifa za uongo,huku ikikaa kimya kuhusiana na tuhuma hizo mpya.

No comments

Post a Comment