Kutokana, na hali ilivo ni kwamba wafanya kazi wa serikali ya
mapinduzi ya zanzibar mlio katika wizara na office zote za utumishi wa
umma, vikosi vya smz munatakiwa mujiandae kisaikolojia kuitumikia
serikal mpya inayo tarajiwa kuundwa hivi makaribuni.
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya uongozi wa chama cha wananchi
CUF, kwani serikali hio mpya itahitaji umoja na upendo na mshikamano na
kuweka mbele maslahi ya wazanzibar wote kwa ujumla, ili kulijenga taifa
kwapamoja ni lazima tushikamane ili tusonge mbele tukiwa nchi huru, ya
zanzibar tuondoshe itikadi chuki udini rangi kabila na ubinafsi ufisadi.
Vyote iwe ni historia miongoni mwetu, wazanzibar tumefitinishwa na
kuhitilifiana kwa muda mrefu sana,kwa maslahi ya watu wasio tutakia mema
sisi na nchi yetu na vizazi vyetu hali ya kua sote ni wamoja, leo kwa
uwezo wa, ALLAH NCHI HII YA ZANZIBAR itakua na dira mpya na uongozi ulio
imara usioyumba wala kuyumbishwa tena na watanganyika.
Wazanzibar kwa pamoja tuijenge nchi yetu lakini kubwa zaid tuilinde
nchi yetu adui tanganyika asije tena akatutawala na kutupangia maisha
yetu uonevu na kutuzalilisha iwe basi, ewe. MZAZIBAR HAKIKISHA UNAIKATAA
CCM KAMA UKOMA IFIKAPO 25/ OCTOBAR HUFANYI TENA KOSA LA KUIUNGA MKONO
CCM
Sunday, 3 May 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments
Post a Comment