Fri May 15 2015
Watu wasiofahamika wamevamia nyumbani kwa albino, REMY LUCHOMA
mkazi wa kata ya MAMBA wilaya ya MLELE mkoani KATAVI na
kumkata mkono wa kulia na kuondoka nao.
Akizungumza na TBC kaimu mganga mkuu wa hospitali ya wilaya
ya Mpanda Dakta Joseph Msemwa amesema walimpokea mgonjwa huyo
akiwa katika hali mbaya zaidi kisha kuanza kumpa matibabu
Baadhi ya wakazi wa mpanda wamelaani kitendo hicho na kusema
tukio hilo ni la kwanza kutokea mkoani katavi.

No comments
Post a Comment