Tuesday, 19 May 2015

LEO DUNIA INAMKUMBUKA MWANAHARAKATI MALCOM X.

MALCOLM X ALIZALIWA MEI 19 1925 HUKO OMAHA NEBRASKA AKAFARIKI FEBRUARI 21 1965. ALIKUWA MWANAHARAKATI WA HAKI ZA KIB... thumbnail 1 summary


MALCOLM X ALIZALIWA MEI 19 1925 HUKO OMAHA NEBRASKA AKAFARIKI FEBRUARI 21 1965.

ALIKUWA MWANAHARAKATI WA HAKI ZA KIBINADAMU, AKIJISHULISHA SANA NA KUPIGANIA HAKI ZA WATU WEUSI HASA KUTOKA AFRIKA, LICHA YA KUWA MMAREKANI MWENYEWE.

ALIACHWA YATIMA ANGALI MDOGO SANA BAADA YA BABAKE KUUWAWA WAKATI MALCOLM AKIWA NA MIAKA 6. 

MAMAKE ALIPELEKWA KATIKA HOSPITALI YA WENDA WAZIMU WAKATI MALCOLN AKIWA NA MIAKA 13.


ALIFUNGWA JELA AKIWA NA MIAKA 20.

HIZI NI BAADHI YA NUKUU ZAKE MUHIMU ZA KIHARAKATI:

"The media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses."

"Education is the passport to the future, for tomorrow belongs to those who prepare for it today."

"I believe in the brotherhood of man, all men, but I don't believe in brotherhood with anybody who doesn't want brotherhood with me. I believe in treating people right, but I'm not going to waste my time trying to treat somebody right who doesn't know how to return the treatment."

"I am for violence if non-violence means we continue postponing a solution to the American black man's problem just to avoid violence."

"I don't even call it violence when it's in self defense; I call it intelligence."



No comments

Post a Comment