Thursday, 7 May 2015

M/kiti wa CHADEMA mkoa wa Kigoma Avuliwa Uanachama,soma hapa kujuwa zaidi

    Copy & Paste Bundi atua tena Chadema. Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala. Sasa ... thumbnail 1 summary
 
 Copy & Paste

Bundi atua tena Chadema.
Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala.

Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu.
Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.
Mbowe ndiye aliyeagiza Kisala aondolewe kwa tuhuma za usaliti kwa Chama.

Bila Shaka kila Mwana chadema ni Msaliti isipo Kuwa Wenye Chama.

Na bado.

source
kigoma24hours/full news

No comments

Post a Comment