Aliyekuwa nyota wa timu ya taifa ya Brazil Pele amefanyiwa upasuaji wa kibofu cha mkojo katika hospitali moja mjini Sao Paulo.
Vyombo vya habari nchini Brazil vimeripoti kwamba anaendelea vyema.Pele ambaye jina lake ni Edson Arantes do Nascimento alifunga zaidi ya mabao 1200 wakati alipokuwa akicheza soka na kuisaidia Brazil kushinda mataji matatu ya kombe la dunia. BBC, MAY 8 2015
No comments
Post a Comment