Friday, 15 May 2015

Rais NKURUZINZA yupo salama

Fri May 15 2015 Msemaji wa rais wa BURUNDI, WILLY NYAMWITWE Msemaji wa rais wa BURUNDI, WILLY NYAMWITWE amesema rais PIERRE ... thumbnail 1 summary

Fri May 15 2015

Msemaji wa rais wa BURUNDI, WILLY NYAMWITWE
Msemaji wa rais wa BURUNDI, WILLY NYAMWITWE amesema rais PIERRE NKURUZINZA yupo salama

Akizungumza na BBC NYAMWITE amesema hawawezi kutoa taarifa za yupo eneo gani kwa sababu za kiusalama ila tuu ametaka kuwajulisha wananchi wa BURUNDI na dunia kwa ujumla kuwa yupo salama.

Mara ya mwisho kuonekana Rais NKURUZINZA alikuwa nchini alipohudhuria mkutano wa wakuu wan chi wanachama wa EAC lakini aliondoka nchini usiku kuelekea nchini BURUNDI.

Kumekuwa na habari za mkanganyiko kuwa Rais huyo ameondoka nchini Tanzania na hajarejea huku habari zingine zikieleza kuwa Rais huyo aliondoka lakini ndege yake ilishindwa kutua nchini BURUNDI na hivyo kurejea nchini TANZANIA. tbc, mei 15.2015

No comments

Post a Comment