Tue May 19 2015
Rais UHURU KENYATTA wa KENYA
Rais UHURU KENYATTA wa KENYA amemshauri rais PIERRE NKURUNZINZA wa
BURUNDI, kutoitisha uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mwezi June mwaka huu.
Rais KENYATTA ametoa ushauri huo ikiwa imepita wiki moja tu tangu kushindwa kwa jaribio la kumuondoa madarakani Rais PIEERE NKURUNZINZA.
Kwa mujibu wa Rais KENYATTA, uchaguzi nchini BURUNDI hauwezi kufanyika katika mazingira yaliyopo sasa.
No comments
Post a Comment