Wednesday, 13 May 2015

Rais wa ufaransa afanya ziara ya kikazi nchini CUBA

Wed May 13 2015 Rais wa ufaransa ,FRANCOIS HOLLANDE(kushoto) akiwa na mwenyeji wake RAIS RAUL ... thumbnail 1 summary

Wed May 13 2015
Rais wa ufaransa ,FRANCOIS HOLLANDE(kushoto) akiwa na mwenyeji wake RAIS RAUL CASTRO
Rais wa ufaransa ,Francois Hollande,amefanya ziara ya kikazi nchini CUBA ambapo amkeutanaa na mwenyeji wake RAIS RAUL CASTRO na rais wa zaman wa nchi hiyo FIDEL CASTRO.akiwa ni kiongozi wa kwanza wa nchi za ULAYA kutembelea CUBA,baada ya mahusiano na marekani na cuba kurejea tena..

Ziara hiyo ya hollande inaashiria mahusiano mazuri kati ya nchi hizo,kwani nchi ya ufaransa pekee ndio ilikuwa na mahusiano mazuri na CUBA hata vikwazo vilivyowekewa CUBA na mataifa mengine vilipokuwepo.

Rais hollande,amesema amefurahi kutembelea cuba na lengo lake lilikuwa kukutana na rais castro pamoj na fidelis castro ambaye ni nembo muhimu kwa wananchi wa cuba.

Baada ya rais hollande,kiu kubwa ya wananchi wa cuba ni kumuona RAIS BARACK OBAMA wa marekani akitembelea nchi hiyo kabla ya kuondoka madarakani,kwani wanaamini ni ziara muhimu katika maendeleo na mahusinao na marekani.

No comments

Post a Comment