Sunday, 3 May 2015

UKAWA: HATUTARUDI NYUMA.

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vya upinzani wanaendelea kupigilia msumari na kusisitiza kuwa hawako tay... thumbnail 1 summary
VIONGOZI WA UKAWA

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vya upinzani wanaendelea kupigilia msumari na kusisitiza kuwa hawako tayari na hawafikirii kurudi nyuma kwa namna yoyote na kwa gharama yoyote ile. salamu za viongozi wa UKAWA ni umoja, mshikamano, mapambano dhidi ya udharimu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa Chama tawala na unyanyasaji ulikithiri juu ya maliasili za watanzania. kwa ufupi ukawa itafika ilipopanga kupafikia, kila la kheri UKAWA.

No comments

Post a Comment