Tue May 19 2015
udsm |
Serikali imevishauri vyuo vikuu nchini kufundisha na kuzitoa
tafiti ili ziweze kutumika kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili
jamii.
Ushauri huo umetolewa na Waziri wa Nishati na Madini GEORGE SIMBACHAWENE wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Utafiti na uzinduzi wa kozi mbalimbali za Mafuta na Gesi katika Chuo kikuu cha DSM.
Waziri SIMBACHAWENE amesema kuwa vyuo vikuu vinapaswa kufundisha na kuziendeleza Tafiti kwa kuwa tafiti ni uti wa mgongo wa maendeleo kwa Taifa.

No comments
Post a Comment