HUKU wakidaiwa kuogelea kwenye utajiri wa mabilioni ya fedha, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibukia kwenye Gazeti la Amani na kusema kuwa, amefunga ndoa ya kimyakimya na mpenzi wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’ ambaye ni nyota wa muziki wa kizazi kipya, nchini Uganda na Afrika Kusini.
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari. Diamond aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam alipofanya mahojiano na waandishi wetu baada ya kumuuliza kama ana mpango wa kufunga ndoa na Zari
SOURCE; the choice, may 7 2015
No comments
Post a Comment