Thursday, 7 May 2015

BREAKING NEWZZZ.....MREMA AVULIWA UANACHAMA TLP

     Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefik... thumbnail 1 summary
  


Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.

Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.

Pia Tanzania Daima imeripoti Hivyo.

No comments

Post a Comment