Mon May 18 2015
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi - CCM mkoani MWANZA wametoa wito kwa jamii kuepuka kutumiwa na watu au kikundi chochote kinachoashiria uvunjifu wa amani na mshikamano uliopo miongoni mwa jamii ya Watanzania.
Viongozi hao wametoa wito huo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya PANSIASI wilaya ya ILEMELA mkoani humo ambapo wamekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa vyama siasa kuwabagua wananchi katika utoaji wa huduma kwa mtazamo wa itikadi za vyama, jambo walilosema linapaswa kukomeshwa haraka.

No comments
Post a Comment