Tue May 19 2015
Nchi ya MISRI imeweka vikwazo kwa wanawake wa nchi hiyo wanaotaka
kusafiri kwenda nchini UTURUKI ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na
wimbi la wanaoenda kujiunga na kikundi cha kigaidi cha ISLAMIC STATE- IS
Kwa sasa ili mwanamke aweze kusafiri kwenda nchini UTURUKI atatakiwa kuwasilisha maobi yake ambayo yatajibiwa saa 72 kabla hajasafiri.
Maafisa wa uhamiaji wa MISRI wamesema sheria hiyo itawawezesha kukagua iwapo mwanmke huyo anataka kwenda kujiunga na kikundi cha IS ama lah
Sheria kama hiyo ilianzishwa na kuanza kutumika kwa wanaume wa MISRI mwezi DECEMBER 214 .
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi wa MISRI kuingia UTURUKI na kisha kujiunga na kikundi cha kigaidi cha IS

No comments
Post a Comment