Taarifa Ya Habari

  • Tuesday, 19 May 2015

    Poroshenko amnyooshea kidole Putin

  • Unknown
  • 21:53
  • 0 Comments
  • Facebook Twitter

    Poroshenko amnyooshea kidole Putin

    ... thumbnail 1 summary 21:53


    Rais wa Ukraine, Petro Poroshenko
    Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ameiambia BBC kuwa hamuamini kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika harakati za kuleta Amani Mashariki mwa Ukraine.
    Vladimir Putin
    Poroshenko anasema anahofia kwamba huenda kukawa na kutoku elewana kati ya mataifa hayo mawili.
    Hata hivyo ameielezea hali hiyo kuwa ni vita kamili kati ya nchi hizo. Ameongeza kuwa awali katibu mkuu wa Marekani John Kerry alifanya mazungumzo na kiongozi huyo kabla ya mazungumzo yao na Rais wa Urusi Putin.
    Share: Facebook Twitter Google+
    Newer Post Older Post Home

    No comments

    Post a Comment

    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    BOFYA LIKE KUJIUNGA NASI

    Popular Posts

    • Kamanda Suleiman Kova Astaafu Rasmi Jeshi la Polisi Tanzania
    • UDOM; NI SHIDA MGOMO MWANZO MWISHO MPAKA KIELEWEKE, WADAI WAJIBU MAPIGO YA UDSM
    • AFISA AFYA AFANYA MAPENZI NA MKE WA KAKA YAKE,AUNGUZWA MAJI YA MAHARAGE HADI SEHEMU ZA SIRI HUKO KAHAMA
    • Vibali vya ajira kwa wageni kukaguliwa
    • UDOM; BUNGE LA WANAFUNZI LAVUNJWA RASMI, MWAKIBINGA NA WENZAKE WAKUMBUKWA
    • MAFURU ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI UDOM.
    • Rais Morsi ameridhia hukumu ya kifo, asema yuko tayari kunyongwa
    • Rais wa Burundi adai amerudi nyumbani
    • Misri:Marekani yapinga kunyongwa kwa rais wa Misri

    Created By Sora Templates & Blogger Templates