Msemaji wa Rais Pierre Nkurunzinza ameiambia Idhaa ya Kiswahili Radio
Tehran kuwa uchaguzi mkuu wa Burundi utaendelea kama ulivyopangwa na
kwamba zoezi hilo halitoakhirishwa. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya
simu, Gervais Abayeho amesema wagombea 8 wa kiti cha urais tayari
wamewasilisha makaratasi yao akiwemo Rais Pierre Nkurunziza. Msemaji wa
Rais pia amelaani jaribio la mapinduzi lililofeli na kuthibitisha kuwa
majenerali kadhaa wa jeshi walioendesha jaribio hilo wametiwa mbaroni. tehran swahili radio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments
Post a Comment