Serikali inatufanya tuamini kuwa migomo ni suluhisho la matatizo na hii inasababishwa na utendaji na uwajibikaji mbovu wa baadhi ya ngazi za kiserikali ambazo husubiri kwanza zishinikizwe ndipo ziweze kufanya kazi na kutimiza wajibu wao.
mgomo |
mgomo COED |
Leo saa tatu asubuhi Waziri Mkuu wa Kitivo
cha Sanaa za Lugha na sayansi ya jamii ametuma meseji juu ya uwepo wa majina ya
pesa za kujikimu ambayo yanaendelea kuhakikiwa na kusainiwa. Sasa maswali ya
kujiuliza kwa nini yamekuja baada ya vuguvugu hiili la mgomo.
BAED wakiwa katika zoezi la kusaini boom |
BAED mwaka wa tatu katika pozi baada ya kusaini boom la mwisho, kwa heri boom. |
tangaza nasi kupitia blog hii
0673042061
No comments
Post a Comment