UDOM
Leo serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha dodoma kitivo cha sanaa ya lugha na sayansi za jamii (CHSS) inatajiwa kufika ukingoni ili kupisha uchaguzi wa serikali mpya ya wanafunzi 2015/2016.
waziri mkuu CHSS, wilbroad burchard |
Tegemeo la wote likizungumza na ofisi ya waziri mkuu imetaarifiwa pia kuwa wanafunzi wote tayari wametangaziwa kuhudhuria kikao hicho maalum na cha mwisho kwa serikali hii ili kujua nini kitaendelea zaidi. "Matangazo yatabandikwa kuujulisha umma na tunawaomba wafike, kwa muda mwafaka bila kukosa" alisema Waziri mkuu.
pia ameongeza kusema pesa ya vitendo na majaribio (special faculty tayari imewekwa, na sasa watu watembelee akaunti zao.
tangaza nasi daima, tembelea blog hii mara kwa mara upate habari mpya na matukio mapya zaidi
kwa ushauri na mapendekezo, piga 0762042060
No comments
Post a Comment