Wachezaji
wa klabu ya Barcelona watavalia jezi maalum katika mechi yao ya mwisho
msimu huu ili kutoa heshima kwa kiungo wao wa kati Xavi ambaye
anakamilisha uhusiano wake wa miaka 24 na klabu hiyo .
Mchezaji
huo atapewa kwaheri maalum katika mechi dhidi ya Deportivo la Coruna
itakayochezwa katika uwanja wa Nou Camp siku ya jumamosi.Amesema kuwa uamuzi huo umekuwa mgumu kwake.
No comments
Post a Comment